Wilaya ya Kilindi inategemea kuupokea Mwenge wa Uhuru mwaka 2022 katika viwanja vya Msente na kuukimbiza katika Wilaya ya Kilindi katika miradi mbalimbali.
Kauli mbiu ya Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2022 ni "Sensa ni Msingi wa Mipango ya Maendeleo, Jiandae Kuhesabiwa Tuyafikie Maendeleo ya Taifa"
Post a Comment