![]() |
Karani wa Sensa Enedy Mshana akimhoji Mkuu wa Wilaya ya Kilindi Abel Yeji Busalama |
Mkuu huyo wa Wilaya ameeleza kuwa zoezi hilo ni muhimu sana kwa taifa kwani litaiwezesha Serikali kuweza kupanga mipango ya maendeleo hivyo wananchi ambao bado hawajafikiwa wasiwe na wasiwasi watafikiwa kwakuwa bado zoezi linaendelea. Zaidi amewataka wananchi kutoa taarifa sahihi ili kuisaidia Serikali kuwapelekea huduma mbalimbali za jamii kama shule, afya, maji, barabara, n.k
Post a Comment