Wataalam wa afya mara kadha wamekuwa wakieleza faida za unywaji wa maziwa. Unywaji wa maziwa, unafaida kubwa na muhimu kwa mwili wa binadamu, leo blogu yako pendwa tumekuandalia baadhi ya faida za unywaji wa maziwa kila siku.
Na hizi ndio baadhi ya faida za unywaji wa maziwa.
Maziwa ni chanzo bora cha madini ya kalisiamu, hivyo basi maziwa ndicho kitu halisi kinachohitajiwa na meno. Pia maziwa huzuia kutoboka na kuoza kwa meno. Kalisiamu hufyonzwa na miili yetu kukiwa na vitamini D; hivyo jitahidi kunywa maziwa kwani maziwa huwa na vitamini
- HUJENGA NA KULAINISHA NGOZI.
Ni wazi kuwa, vitamini na virutubisho vilivyoko katika maziwa ni muhimu kwa ajili ya ngozi bora.
Post a Comment