Kuna tetesi kuwa mchezaji machachari anayekipiga na Azam FC Mudathir Yahya yuko kwenye orodha ya wachezaji wanaotajwa Kujiunga na Simba sc kabla ya Dirisha la usajili kufungwa , Mazungumzo yanaendelea. Waswahili wanasema tuendelee kula mtori nyama tutazikuta chini.
Post a Comment