Matokeo NBC kwa mechi ambazo zimekamilika mpaka sasa

 


Klabu ya Yanga imeendeleza ubingwa mbele ya Wagosi wa kaya huku Timu ya Jiji la Dodoma ikiendelea kurukishwa kichura kwa bao mbili kwa moja  dhidi ya Maafande wa Magereza Tanzania.

Post a Comment

Previous Post Next Post